MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mattar Zahor Masoud akiwasilisha Taarifa ya utekeleza mpango kazi ya Mkoa wake kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani) kabla ya kuaza kwa ziara yake katika Mkoa wa Kusini Pemba, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Taarifa ya Utekelezaji wa Kazi ya Mkoa wa Kusini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Mattar Zahor Masoud,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba leo 2-9-2021.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Viongozi wa Chama na Serikali wakifuatilia taarifa ya utekelezaji wa kazi ya Mkoa wa Kusini Pemba, kabla ya kuaza kwa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba, ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahor Masoud.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wakuu wa Taasisi za Serikali wakifuatilia taarifa ya utekeleza mpango kazi ya Mkoa wa Kusini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahor Masoud.(hayupo pichani) mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba, kabla ya kuaza kwa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia taarifa ya utekeleza mpango kazi wa Mkoa wa Kusini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahor Masoud.(hayupo pichani) mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba, kabla ya kuaza kwa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)
WAKUU wa Vyombo vya Usalama Kisiwani Pemba wakifuatilia taarifa ya utekeleza mpango kazi ya Mkoa wa Kusini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahor Masoud.(hayupo pichani) mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba, kabla ya kuaza kwa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)