Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera akipokea cheti cha shukrani kwa namna Tume ya
Uchaguzi ilivyowashirikisha na kufanikisha utatuzi wa changamato kwa watu wenye
ulemavu. Anaekabidhi cheti hicho leo Septemba 1,2021 ni Mwenyekiti wa Taasisi
ya Foundation for Disabilities Hope, Michael Salali. (Picha na NEC).
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,
Dkt. Wilson Mahera akipokea cheti cha shukrani kwa namna Tume ya Uchaguzi
ilivyowashirikisha na kufanikisha utatuzi wa changamato kwa watu wenye ulemavu.
Anaekabidhi cheti hicho leo Septemba 1,2021 ni Mwenyekiti wa Taasisi ya
Foundation for Disabilities Hope, Michael Salali. Wengine pichani ni Mshauri wa
Taasisi hiyo, Mch.Kalebu Muhawi (kushoto) na Mkuu wa Idara ya Utawala, Joyce
Macha.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,
Dkt. Wilson Mahera akimkabidhi nakala za ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 kwa Mwenyekiti
wa Taasisi ya Foundation for Disabilities Hope, Michael Salali (kushoto) leo
Septemba 1,2021 muda mfupi baada ya taasisi hiyo ya FDH kukabidhi cheti cha
shukrani kwa namna Tume ya Uchaguzi ilivyowashirikisha na kufanikisha utatuzi
wa changamato kwa watu wenye ulemavu.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera (kushoto) akizungumza katika kikao hicho na pamoja nae ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu, Gerald Mwanilwa
Mwenyekiti wa Taasisi ya Foundation for Disabilities
Hope, Michael Salali (kulia) akizungumza.Anaemfuatia ni Mkuu wa Idara ya Utawala, Joyce Macha na Mshauri wa Taasisi hiyo, Mch.Kalebu
Muhawi.