********************
Mchambuzi nguli wa soka nchini, Mwalimu Alex Kashasha amefariki Dunia leo Agosti 19, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Kairuki Jijini Dar es Salaam.
Kashasha alikuwa mtumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hasi umauti ulipomfika.