Waziri Wa Madini Mhe. Doto Biteko (katikati) akikagua maeneo ya mgodi wa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu, mgodi wa Lutarasi uliopo wiaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma alipokuwa katika ziara yake.
Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko akisalimiana na wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Lutarasi uliopo wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma.
Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko akipata maelezo ya namna shughuli za uchimbaji wa dhahabu unavyofanyika na wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika alipotembelea katika ziara yake wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma.
Waziri Wa Madini Mhe. Doto Biteko akikagua shimo la mgodi wa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wa Lutarasi wakati akiwa kwenye ziara yake wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma siku ya Ijumaa
Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko akiongozana na viongozi mbalimbali akiwemo Katibu Mkuu Wizara ya Madini Prof. Simon Msanjila pamoja Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Generali Wilbert Ibuge wakiwa katika ukaguzi wa mgodi wa wachimabji wadogo wa madini ya dhahabu Lutarasi wakati wa ziara mkoani Ruvuma Agosti 13, 2021.