WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wamemthibitisha Wallace John Karia kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kipindi kingine cha miaka minne katika mkutano uliofanyika leo Jijini Tanga.