Waziri Mkuu, Kiassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mbunge wa Ushetu , Mhe. Elias Kwandikwa wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu Kibaha Picha ya Ndege, Agosti 4, 2021.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji katika msiba wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa  na Mbunge wa Ushetu, Mhe.  Elias Kwandikwa, nyumbani kwa marehemu, Kibaha Picha ya Ndege, Agosti 4, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimpa pole,  Emmanuel Kwandikwa  ambaye ni kaka wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa  na Mbunge wa Ushetu, Mhe.  Elias Kwandikwa, nyumbani kwa marehemu, Kibaha Picha ya Ndege, Agosti 4, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)