Na Mwamvua Mwinyi,Chalinze
Mbunge wa jimbo la Chalinze ,Ridhiwani Kikwete amekabidhi matakwa ya  ilani ya Uchaguzi ya CCM inayoelekeza kugawa  10% toka makusanyo ya Halmashauri. 
Ridhiwani ameeleza, Halmashauri ya Chalinze imeendelea kutimiza matakwa hayo kwa kupeleka  Sh.Milioni 840 kwa Walengwa. 





                                
                             