Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Wilaya,Kata na wajumbe wa Mabaraza ya jumuiya za UWT, Wazazi na UVCCM wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM. Dk. Bashiru Ally wilayani Ukerewe juzi.
Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akiwahutubia wajumbe Halmashauri Kuu za Wilaya,Kata na wajumbe wa Mabaraza ya jumuiya za UWT, Wazazi na UVCCM . Picha na Baltazar Mashaka.
Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akiwa amenyanyua juu kadi zilizorejeshwa na wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani baada ya kujiunga na CCM wilayani Ukerewe. Jumla ya wanachama wapya 659 wamepokelewa wakiwemo wenyeviti wa vijiji na vitongoji.Kutoka kulia wa pili ni Dk. Anthony Diallo, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na wa kwanza ni Katibu wa Chama wa mko huo. Salum Kalli