Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiweka jiwe la Msingi Hospitali ya Wilaya Uvinza. Ujenzi wa Hospitali hiyo unagharimu jumla ya shilingi bilioni 3.8.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasilimu wananchi katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma. Makamu wa Rais yupo Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku nne.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango Akipokea maelezo ya ujenzi wa baadhi ya majengo ya Hospitali ya wilaya ya Uvinza kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Uvinza Bw. Weja Ngolo Julai 15, 2021
PICHA – OFISI YA MAKAMU WA RAIS