Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Amina Khamis Shaaban, akichangia mada wakati wa kikao cha Makatibu Wakuu wa Wizara ya Fedha, Uwekezaji na Maafisa Waandamizi wa Benki Kuu wanaohusika na masuala ya Fedha na Uwekezaji wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana (Peer Review Panel) uliofanyika kwa njia ya mtandao katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Ujumbe kutoka Tanzania ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Amina Khamis Shaaban, wakifuatilia mkutano wa Makatibu Wakuu wa Wizara ya Fedha, Uwekezaji na Maafisa Waandamizi wa Benki Kuu wanaohusika na masuala ya Fedha na Uwekezaji wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana (Peer Review Panel) uliofanyika kwa njia ya mtandao katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Prof. Godius Kahyarara na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. James Msina.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Amina Khamis Shaaban, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Prof. Godius Kahyarara (kushoto) na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. James Msina, wakiteta jambo wakati wa mkutano wa Makatibu Wakuu wa Wizara ya Fedha, Uwekezaji na Maafisa Waandamizi wa Benki Kuu wanaohusika na masuala ya Fedha na Uwekezaji wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana (Peer Review Panel) uliofanyika kwa njia ya mtandao katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Amina Khamis Shaaban, akiteta jambo na Kamishna wa Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Sauda Msemo, wakati wa mkutano wa Makatibu Wakuu wa Wizara ya Fedha, Uwekezaji na Maafisa Waandamizi wa Benki Kuu wanaohusika na masuala ya Fedha na Uwekezaji wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana (Peer Review Panel) uliofanyika kwa njia ya mtandao katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Amina Khamis Shaaban akiteta jambo na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. James Msina, wakati wa mkutano wa Makatibu Wakuu wa Wizara ya Fedha, Uwekezaji na Maafisa Waandamizi wa Benki Kuu wanaohusika na masuala ya Fedha na Uwekezaji wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana (Peer Review Panel) uliofanyika kwa njia ya mtandao katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Sauda Msemo, akifuatilia mkutano wa Makatibu Wakuu wa Wizara ya Fedha, Uwekezaji na Maafisa Waandamizi wa Benki Kuu wanaohusika na masuala ya Fedha na Uwekezaji wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana (Peer Review Panel) uliofanyika kwa njia ya mtandao katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wakifuatilia mkutano wa Makatibu Wakuu wa Wizara ya Fedha, Uwekezaji na Maafisa Waandamizi wa Benki Kuu wanaohusika na masuala ya Fedha na Uwekezaji wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana (Peer Review Panel) uliofanyika kwa njia ya mtandao katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Afisa dawati wa SADC, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Joseph Haule, akifuatilia mkutano wa Makatibu Wakuu wa Wizara ya Fedha, Uwekezaji na Maafisa Waandamizi wa Benki Kuu wanaohusika na masuala ya Fedha na Uwekezaji wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana (Peer Review Panel) uliofanyika kwa njia ya mtandao katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Maafisa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jesca Mboho, Bi. Nteghenjwa Kidika na Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharika, Bw. Jeremiah Shigongo, wakifuatilia mkutano wa Makatibu Wakuu wa Wizara ya Fedha, Uwekezaji na Maafisa Waandamizi wa Benki Kuu wanaohusika na masuala ya Fedha na Uwekezaji wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana (Peer Review Panel) uliofanyika kwa njia ya mtandao katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango)