RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kushoto) akifungua pazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi Msikiti wa Ijitimai Kidoti Wilaya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ( kulia) akitoa nasala zake kwa waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Msikiti wa Ijitimai Kidoti Wilaya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini
Unguja akiwa katika ziara ya Mkoa huo inayoendelea ndani ya Mkoa huo .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ( kulia) akitoa nasala zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Msikiti wa Ijitimai Kidoti Wilaya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini
Unguja akiwa katika ziara ya Mkoa huo inayoendelea ndani ya Mkoa huo .[Picha na Ikulu] 06/07/2021.