Deus Magala Mkurugezi Rasilimali Watu shirika la Madini Tanzania STAMICO akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliofika kwenye banda la hilo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Julai 3,2021 kushoto ni Bi. Happy Manyange Mhandisi Mchenjuaji Madini STAMICO.
Wananchi mbalimbali wakiwa katika banda la Shirika la Madini Tanzania STAMICO kwenye maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Julai 3,2021.
Deus Magala Mkurugezi Rasilimali Watu shirika la Madini Tanzania STAMICO akiwa na Geofrey Meena Mkuu wa Masoko na Mawasiliano STAMICO maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam
Bw. Mwalogo afisa kitengo cha tehama Shirika la Madini Tanzania STAMICO akigawa kofia kwa wafanyakazi wenzake katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam
Mhunda Nyakiroto Afisa Mwandamizi Rasilimali Watu Shirika la Madini STAMICO na Naziru Kyaruzi Mhandisi wa Uchenjuaji Madini wakitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea katika banda hilo leo Jumamosi Julai 3,2021 kwenye maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO wakitoa huduma kwa wananchi mbalimbali waliofika kwenye banda hilo leo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam
Bi. Happy Manyange Mhandisi Mchenjuaji Madini STAMICO akitoa maelezo kwa wananchi waliofika kwenye banda hilo.
Mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda hilo akiuliza swali kwa Happy Manyange Mhandisi Mchenjuaji wa Madini STAMICO katikati ni Deus Magala Mkurugenzi wa Rasilimali Watu SATAMICO na kushoto ni Mabalozi wa STAMICO.
Bi. Happy Manyange Mhandisi Mchenjuaji Madini STAMICO akizungumza na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano STAMICO Bw. Geofrey Meena katikati ni Bi. BibiAnna Ndumbaro Afisa Habari wa Shirika hilo.
Mabalozi wa STAMICO wakipozi kwa picha.