Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mhe. Wamkele Mene Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AFCTA) Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 30,021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhe. Wamkele Mene Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AFCTA) Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 30,021.