Muonekano wa sehemu ya Daraja la Reli ya SGR litalopita juu kutoka Ilala hadi Stesheni ya Dar es salaam linavyoonekana likimaliziwa kujengwa maeneo ya Shaurimoyo kama lilivyopigwa picha leo na Issa Michuzi
Kaimu Meneja wa TRA Mkoa wa Dodoma, Aubrey Silayo,akizungumza na waaandishi wa habari leo Novemba 17,2026 jijini Dodoma kuhusu matumizi ya mfumo wa Stempu…