Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wahudumu wa Shirika la Ndege la ATCL mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo tarehe 20 June, 2021.
📍SAME. ZAIDI ya Wakulima 23184 katika skimu za umwagiliaji za Ndungu, Ndungu fidia, Kalemane na Vumba jimbo la Same mashariki wilayani Same mkoani Kilimanjaro…