Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Vijana wa Mkoa wa Mwanza leo tarehe 15 Juni, 2021 katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana mkoani Mwanza.
Vijana mbalimbali wa Mkoa wa Mwanza pamoja na maeneo mbalimbali nchini wakicheza katika shamrashamra za mkutano wao huo kabla ya kuanza kusikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Sehemu ya Vijana waliohudhuria Mkutano wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 15 Juni, 2021. PICHA NA IKULU