Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amemtembelea Mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, awamu ya Tano, Mama Janeth Magufuli, nyumbani kwake jijni Dar es salaam leo. Mama Maria, aliyeongozana na mjukuu wake Bhoke Nyerere, alimkabidhi Mama Janeth zawadi ya Kitenge alipofika nyumbani hapo.
MAMA MARIA NYERERE AMTEMBELEA MJANE WA HAYATI MAGUFULI
By Alex Sonna
June 11, 2021 | 5:37 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
5 minutes ago
NDEJEMBI AMFARIJI NAIBU WAZIRI MAGHEMBE KUFUATIA KIFO CHA MAMA YAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi amefika Kigamboni Jijini Dar es Salaam, kuifariji familia ya Naibu Waziri wa…
Mchanganyiko
7 minutes ago
NDEJEMBI: MAAMUZI YA COP12 YATEKELEZWE, YAGHARAMIWE
NA SOPHIA KINGIMALI, DAR ES SALAAM MAKAMU wa Rais, Deogratius Ndejembi, amezitaka Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi kuhakikisha maamuzi yatakayofikiwa katika Mkutano wa…



