Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Simu masuala mbalimbali ya Kimaendeleo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Adesina Akinwumi ambaye alikuwa akizungumza kutokea Makao Makuu ya Benki hiyo Abidjan nchi Ivory Coast leo tarehe 11 Juni, 2021.
RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU NA RAIS WA AfDB DKT.ADESINA
By Alex Sonna
June 11, 2021 | 2:55 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
6 minutes ago
IPU YAISIFU TANZANIA KWA. KUONGEZA UWAKILISHI WANAWAKE BUNGENI
Na Ripota wa TBN, Arusha. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Anda Filip, ameipongeza Tanzania kwa hatua iliyopiga katika kuongeza idadi…
Mchanganyiko
19 minutes ago
WAZIRI KAPINGA AZINDUA KIKOSI KAZI CHA AMCHAM KUIMARISHA VIWANDA NA MAUZO YA NJE
Dar es Salaam, *Awakilishwa na Naibu Katibu Mkuu kuzindua kikosi kazi hicho chini ya chemba ya wafanyabiashara wa Marekani-AMCHAM *Awataka Wazalishaji kutumia fursa ya…
