WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Selemani Jafo,akizungumza wakati wa Kongamano la hifadhi ya Mazingira na Maendeleo Endelevu pamoja na uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Taifa wa kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi mwaka 2021 hadi 2026 uliofanyika leo June 4,2021 jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Hamad Hassan Chande,akizungumza wakati wa Kongamano la hifadhi ya Mazingira na Maendeleo Endelevu pamoja na uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Taifa wa kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi mwaka 2021 hadi 2026 uliofanyika leo June 4,2021 jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Marry Maganga ,akizungumza wakati wa Kongamano la hifadhi ya Mazingira na Maendeleo Endelevu pamoja na uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Taifa wa kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi mwaka 2021 hadi 2026 uliofanyika leo June 4,2021 jijini Dodoma.
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Shirika la CARE International Tanzania Bi.Haika Mtui,akitoa neno wakati wa Kongamano la hifadhi ya Mazingira na Maendeleo Endelevu pamoja na uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Taifa wa kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi mwaka 2021 hadi 2026 uliofanyika leo June 4,2021 jijini Dodoma.
Baadhi ya Washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Selemani Jafo (hayupo pichani) wakati wa Kongamano la hifadhi ya Mazingira na Maendeleo Endelevu pamoja na kuzindua Mpango Mkakati wa Taifa wa kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi mwaka 2021 hadi 2026 uliofanyika leo June 4,2021 jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Selemani Jafo akizindua Mpango Mkakati wa Kitaifa wa kukabiliana na Mabadiliko ya tabia nchi mara baada ya kufungua Kongamano la hifadhi ya Mazingira na Maendeleo Endelevupamoja na kuzindua Mpango Mkakati wa Taifa wa kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi mwaka 2021 hadi 2026 uliofanyika leo June 4,2021 jijini Dodoma.kulia ni Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Shirika la CARE International Tanzania Bi.Haika Mtui
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Selemani Jafo akimkabidhi kitabu cha Mpango Mkakati wa Kitaifa wa kukabiliana na Mabadiliko ya tabia nchi Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Shirika la CARE International Tanzania Bi.Haika Mtui mara baada ya kufungua Kongamano la hifadhi ya Mazingira na Maendeleo Endelevu pamoja na uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Taifa wa kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi mwaka 2021 hadi 2026 uliofanyika leo June 4,2021 jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Selemani Jafo akiwa na washiriki wa Maendeleo wakionyesha Mpango Mkakati wa Kitaifa wa kukabiliana na Mabadiliko ya tabia nchi baada ya kufungua Kongamano la hifadhi ya Mazingira na Maendeleo Endelevu pamoja na uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Taifa wa kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi mwaka 2021 hadi 2026 uliofanyika leo June 4,2021 jijini Dodoma.kulia ni Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Shirika la CARE International Tanzania Bi.Haika Mtui
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Maendeleo mara baada ya kufungua Kongamano la hifadhi ya Mazingira na Maendeleo Endelevu pamoja na uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Taifa wa kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi mwaka 2021 hadi 2026 uliofanyika leo June 4,2021 jijini Dodoma.
……………………………………………………………
Na.Alex Sonna,Dodoma
Kwa upande wake, Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Marry Maganga, amesema kuwa uzinduzi huo umekwanda pamoja na uwasilishwaji mada kuhusu matumizi ya nishati mbadala ili kupunguza matumizi ya misitu.
Naye Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Shirika la CARE International Tanzania Bi.Haika Mtui,ameipongeza serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kwa kuwa na ushirikiano mzuri katika suala zima la kuhamasisha jamii utunzaji wa mazingira kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi.