Mhe. Dkt. Ali Hassan Mwinyi, Rais mstaafu wa Awamu ya Pili ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzani leo tarehe 02-06-2021 amefika Msasani jumbani kwa baba wa taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kumkabidhi mjane wa baba wa taifa Kitabu cha simulizi ya maisha ya Mzee Mwinyi, “Mzee Ruksa safari ya Maisha yangu”
RAIS MWINYI AMKABIDHI MAMA NYERERE KITABU CHA SIMULIZI YAKE
By Alex Sonna
June 2, 2021 | 7:15 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
2 hours ago
JKCI KUANZISHA HUDUMA ZA MOYO HOSPITALI YA KITETE TABORA
Na mwandishi Maalum, Dar es Salaam Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora – Kitete zimeingia makubaliano…
Mchanganyiko
2 hours ago
MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KIBAHA ACHARUKA ATOA SIKU SABA KIWANDA CHA CORDY KUBORESHA MIFUMO YA MAJI TAKA
Na Victor Masangu,Kibaha MSTAHIKI Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Dkt Mawazo Nicas ametoa muda wa siku saba kwa kiwanda cha kuchakata plastiki…

