Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu (African court on Human and peoples’ Rights) Mhe. Jaji Sylvain Orè mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu (African court on Human and peoples’ Rights) Mhe. Jaji Sylvain Orè mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu (African court on Human and peoples’ Rights) Mhe. Jaji Sylvain Orè mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Mei, 2021. PICHA NA IKULU