Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 25, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, Bungeni jijini Dodoma, Mei 25, 2021
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akijadili jambo na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, Bungeni jijini Dodoma, Mei 25, 2021.
Waziri Kilimo, Profesa Adolf Mkenda (kushoto) na Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakifuatilia michango ya wabunge katika mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022, Bungeni jijini Dodoma, Mei 25, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)