RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Skauti Mkuu Mhe.Mwatum Mahiza, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Katiba ya Skauti Tanzania na Skauti Mkuu Mhe.Mwatum Mahiza, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Skauti Tanzania ukiongozwa na Skauti Mkuu Mhe.Mwatum Mahiza akiwa na Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti Zanzibar Ndg. Suleiman Takadir na Kamishna Msaidizi Skauti Zanzibar Bi. Amina Clement.(Picha na Ikulu)
SKAUTI Mkuu Mhe. Mwatum Mahiza akipiga saluti baada ya kumkabidhi Katiba ya Skauti Tanzania Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kujitambulisha.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Skauti Mkuu Mhe.Mwatum Mahiza, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)