MTOTO wa Rais wa Zanzibar Jamila Hussein Mwinyi akimsalimia mmoja wa Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar na kumpa mkoni wa Eid El Fitry, akijumuika na Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) walipofika katika makazi yao kwa ajili ya kuwasalimia na kutoa mkono wa Eid.(Picha na Ikulu)
MTOTO wa Rais wa Zanzibar Tariq Hussein Mwinyi akimsalimia mmoja wa Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar, na kutowa mkoni wa Eid El Fitry akijumuka na Mama yake Mariam Mwinyi(hayupo pichani) walipofika katika makazi yao Welezo.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza kuwasalimia na kutowa mkono wa Eid El Fitry akiongozana na Wanawe, walipofika katika makazi yao Welezo Wilaya ya Magharibi A Unguja.(Picha na Ikulu)