Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi akiwa na baadhi ya Viongozi wakitoa mkono wa mpole kwa familia zilizopata msiba kutokana na kuzama kwa chombo walichokuwa wakivulia baada ya kukumbwa na dhoruba ya Upepo mkali na kusababisha vifo huko Shehia ya Shumba Mjini alipokuwa ziyarani kisiwani Pemba
Baadhi ya Wanafamilia waliyofarajiwa na Mh. Balozi Seif Ali Iddi kutokana na Msiba wa kuzama kwa chombo na kusababisha kifo na kupotea kwa Wavuvi na Vyombovyao Micheweni Shehia ya Shumba Mjini kwa ajili ya kufarajiwa
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Bolozi Seif Ali Iddi akipatiwa Maelezo na Mkuu wa Idara ya Misitu Pemba Said Juma wakati alipotembelea Msitu wa Hifadhi Ngezi Wilaya ya Micheweni alipokuwa Ziarani Kisiwani Pemba
Makamu Wapili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akizumgumza na Wananchi wa Ukunjwi wakati alipotembelea Mradi wa Maji safi na Salama (Kulia) Waziri wa Ardhi Nyumba Maji na Nishati Mh. Salama Aboud Talib na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mberwa Hamad Mberwa.
Mmoja kati ya wanafamilia waliyofarajiwa baada ya kupokea ubani kutoka kwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh. Shamata Shaame Khamis akionyesha