Baadhi
ya Watumishi wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB),
waliohudhuria maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi (MEI MOSI) yaliyofanyika
katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam huku Watumishi wakiwa wamebeba bango lenye ujumbe unaosomeka.

*MASLAHI BORA ,MISHAHARA JUU,KAZI IENDELEE*
*UBUNIFU MAJENGO
BORA, GHARAMA HALISI, MAJENZI THABITI KWA WATANZANIA WOTE.
Baadhi ya Watumishi wa Bodi ya Usajili wa
Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), wakiwa katika maadhimisho ya
siku ya Wafanyakazi (MEI MOSI) yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar
es salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amkabidhi cheti cha mfanyakazi bora, Bi Zubeda
Ahmed kutoka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji
Majenzi (AQRB) katika maadhimisho ya siku ya
Wafanyakazi (MEI MOSI) yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es
salaam.

PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-DAR ES SALAAM