Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akipokea maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Wawakilishi wa kundi la Vijana Balehe Najma Mohamed wakati wa uzinduzi wa Ajenda ya Kitaifa ya kuwekeza katika Afya na Maendeleo ya Vijana Balehe iliyofanyika leo April 17,2021 jijini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akikagua Mabanda mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Ajenda ya Kitaifa ya kuwekeza katika Afya na Maendeleo ya Vijana Balehe iliyofanyika leo April 17,2021 jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wakifatilia maada mbalimbali zinazotolewa wakati wa uzinduzi wa Ajenda ya Kitaifa ya kuwekeza katika Afya na Maendeleo ya Vijana Balehe iliyofanyika leo April 17,2021 jijini Dodoma.
Baadhi ya Vijana wa kundi Balehe wakiwa katika uzinduzi wa Ajenda ya Kitaifa ya kuwekeza katika Afya na Maendeleo ya Vijana Balehe iliyofanyika leo April 17,2021 jijini Dodoma.