MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali baada ya kumaliza kwa hafla ya kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 2-3-2021.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali viliuoko Zanzibar, baada ya kumaliza hafla ya kuapishwa leo Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)