Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo akishiriki zoezi la kupasua mawe katika Kijiji cha Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo ni eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kuwaondolea adha wanafunzi ya kutembea umbali mrefu wanafunzi wa Kijiji hicho kufuata elimu.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo(kushoto), akishiriki zoezi la kung’oa mawe katika Kijiji cha Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo ni eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kuwaondolea adha wanafunzi ya kutembea umbali mrefu wanafunzi wa Kijiji hicho kufuata elimu.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Wananchi wa Kijiji cha Bambi wakishiriki zoezi la kukusanya mawe katika eneo la Kijiji cha Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo ni eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kuwaondolea adha wanafunzi ya kutembea umbali mrefu wanafunzi wa Kijiji hicho kufuata elimu.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi