Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na kioongozi wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu
Mwanabanzi wa 15 mara baada ya kuzindua kiwanda cha kuchakata mazao
jamii ya mikunde cha Mahashree Agro processing Tanzania limited mjini
Morogoro leo Ijumaa Februari 12, 2021
PICHA NA IKULU