RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Rahma Nungwi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua baada ya kumaliza kuzungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika leo katika Masjid Rahma Nungwi, ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh, Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi , akisalimiana na kuagana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Rahma Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 29-1-2021.(Picha na Ikulu)