*****************************************
NA EMMANUEL MBATILO
Klabu ya Yanga imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya Mapinduzi Cup yanayoendelea Visiwani Zanzibar baada ya kuichapa Azam Fc kwa mikwaju ya penati baada ya kutoka sare ya bao 1-1.
Yanga ilianza kupata bao kupitia kwa Tuisla Kisinda dakika ya 52 ya mchezo na baadae Azam Fc wakasawazisha kupitia kwa Obrey Chirwa mnamo dakika 67 ya mchezo.
Yanga watakutana fainali tarehe 13 mwezi huu kati Simba na Namungo ambao nao wanacheza nusu fainali