Mtoto anaitwa Doreen Edings Mwakambonja anasoma shule ya sekondari Igumbilo inayomilikiwa na KKKT iliopo Chimala Mbeya. Mtoto alitoweka ghafla tarehe 8/1/2021 nyumbani kwao eneo la Selewa karibu na ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Songwe . Juhudi za kumtafuta mtoto mwanafunzi huyo zinaendelea na Jeshi la polisi kwa kushirikiana na Raia wema. Taarifa imetolewa katika kituo cha polisi Mlowo kwa RB No Mwo/IR/202I . Msaada wa jamii unahitajika kumpata popote utakapo muona toa taarifa kwa kituo chochote cha polisi kilichopo jirani au tupigie namba za kutoa taarifa 0767424590
0784434390
0755555929
Ahsanteni sana.