Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, kesho, Julai 13 anatarajia kufanya ziara binafsi nchini Tanzania.
Ziara wilayani Chato ambapo , Rais Museveni atamtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, Kijijini kwake Mlimani, wilayani Chato, mkoani Geita.
Akiwa kijijini hapo, Rais Museveni atafanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Magufuli. Ikumbukwe hivi karibuni Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta alimtembelea Rais Magufuli nyumbani kwake, ambapo alifanya mazungumzo naye binafsi
NA DENIS MLOWE, MAFINGA MBUNGE wa Jimbo la Mafinga Mjini, Dickson Lutevele, ameitaka Halmashauri ya Mji Mafinga kuchunguza mfumo wa ukusanyaji wa ada za…
Na Farida Mangube Morogoro Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewataka wanamichezo nchini kutumia nafasi zao kuwa sauti ya jamii katika kupinga…