Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Antalya nchini Uturuki, tarehe 10 Novemba, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabia (COP31).

RAIS SAMIA AWASILI UTURUKI KUSHIRIKI MKUTANO WA COP31
