Oktoba 28 2026 ya Kibabe! Vijana 3,800 kufikiwa na fursa za mafunzo ya ufundi stadi baada ya VETA kuingia ushirikiano na TBL na World Vision Tanzania. Kupitia ushirikiano huo vijana watapata ujuzi wa stadi mbalimbali.
OKTOBA 28 YA KIBABE: VIJANA 3,800 KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI
