Kamati ya Ushauri wa Kisheria Mkoa wa Mbeya imekutana na kufanya kikao chake cha Robo ya kwanza katika Mwaka wa Fedha 2026/27, kikao hicho kimefanyika tarehe 22 Oktoba 2026.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri ya Kisheria ya Mkoa wa Mbeya, ambaye ni Wakili wa Serikali wa Mkoa wa Mbeya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, *Bw. Keneth A. Mgina,* ameongoza kikao hicho ambacho kimelenga kuweka mpango wa Utekelezaji wa majukumu ya kamati katika Roho ya
Aidha, Kamati hiyo pia imejadili namna ya kuendelea kuboresha utoaji wa huduma za Kisheria kwa Wananchi na utatuzi wa mig logoro.
