Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Rehema Sombi Omary (MNEC), ameshiriki Kongamano la Wiki ya Vijana Kitaifa 2026, akisisitiza umuhimu wa kuwawezesha vijana kupata elimu, ujuzi, ajira na fursa za kiuchumi.
Makam Mwenyekiti wa UVCCM ndugu Sombi amewapongeza Rais wq Jamhuri ya Muungano ww Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kwa kuendelea kuweka kipaumbele katika maendeleo ya vijana, huku akiipongeza Wizara ya Maendeleo ya Vijana kwa kutekeleza Ilani ya CCM.
Kaulimbiu: “Mazingira Tofauti, Fursa Sawa kwa Vijana.”

