
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mha. Hassan Saidy , amefika Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar – nyumbani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ajili ya kumfariji na kumpa pole kufuatia msiba wa kuondokewa na mume wake, Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan
