Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali Assoumani akimfariji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar leo Septemba 09, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, September 07, 2026.