Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza alipofungua Kongamano la Tano la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati na Uwekezaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma, Septemba 3, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Washiriki wa Kongamano la Tano la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakakti na Uwekezaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba alipofungua Kongamano hilo kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma, Septemba 3, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye viwanja vya ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma kufungua Kongamano la Tano la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati na Uwekezaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi , Septemba 3, 2026. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Profesa Palamagamba Kabudi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Uwekezaji na Uwezesha, Profesa Kitila Mkumbo, Waziri wa Madini Anthony Mavunde, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Jim Yonaz na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi Kiuchumi, Profesa Aurelia Kokuletaga Kamuzora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizindua Kongamano la Tano la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati na Uwekezaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma, Septemba 3, 2026. Wengine kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Jim Yonazi, Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Gwakisa Bapala, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Profesa Palamagamba Kabudi na, Waziri wa Madini Profesa Anthony Kabudi na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Chamwino, Janeth Mayanja.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipokea kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Tuzo ya Heshima ya Rais iliyotolewa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi alipofungua Kongamano la Tano la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati na Uwekezaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma, Septemba 3, 2026. Kushoto ni Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Chamwino, Janeth Mayanja na kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Aurelia Kokuletaga Kamuzora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
