Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Sherif Ismail, Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri anayemaliza muda wake nchini Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Agosti, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mhe. Sherif Ismail, Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri anayemaliza muda wake nchini Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Agosti, 2026.

