Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizindua Kituo cha Mabasi ya Umeme (ZAN BUS), kilichopo Malindi, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja, leo tarehe 23 Julai 2026
Pichani, Wapilli (Kulia) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla. (Kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Juma Akil Wapili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Akikata Utepe Kiashiria Uzinduzi wa Kituo cha Mabasi ya Umeme (ZAN BUS), kilichopo Malindi, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja, leo tarehe 23 Julai 2026
Muonekano wa Kituo cha Mabasi ya Umeme (ZAN BUS) kilichofunguliwa rasmi leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kilichopo Malindi, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja, tarehe 23 Julai 2026.
