Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, akizungumza na viongozi wa Benki ya CRDB wakati wa kikao kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam, Julai 20, 2026.

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Benki ya CRDB baada ya kufanya mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam, Julai 20, 2026.