WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 20, 2026 amefanya mazungumzo na Nahodha na Mchezaj wa zamani na wa Timu ya Taifa ya Uingereza na Klabu ya Manchester United, Rio Ferdinand Ofisini kwa Waziri Mkuu MIimwa Jijini Dodoma.