


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Idara ya Kimataifa ya Chama cha Kikomunisti cha China Mhe. Liu Haixing pamoja na ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Waziri wa Idara ya Kimataifa ya Chama cha Kikomunisti cha China Mhe. Liu Haixing, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa Idara ya Kimataifa ya Chama cha Kikomunisti cha China Mhe. Liu Haixing mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Waziri wa Idara ya Kimataifa ya Chama cha Kikomunisti cha China Mhe. Liu Haixing, Ujumbe Maalumu kwenda kwa Rais wa China Mhe. Xi Jinping mara baada ya mazungumzo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali kwenye picha na Waziri wa Idara ya Kimataifa ya Chama cha Kikomunisti cha China Mhe. Liu Haixing pamoja na ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2026.
