Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Musalia Mudavadi kwenye viwanja vya Bunge baada ya Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto kulihutubia Bunge jijini Dodoma, Mei 5, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto akisalimiana na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge baada ya Rais Ruto kulihutubia Bunge jijini Dodoma, Mei 5, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto akizungumza na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge baada ya Rais Ruto kulihubia Bunge jijini Dodoma, Mei 5, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto akisalimiana na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge baada ya Rais Ruto kulihutubia Bunge jijini Dodoma, Mei 5, 2026. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Musalia Mudavadi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto akizungumza na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba wakizungumza kwenye viwanja vya Bunge baada ya Rais Ruto kulihubia Bunge jijini Dodoma, Mei 5, 2026. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Daniel Sillo na wa pili kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Musalia Mudavadi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi baada ya Rais Ruto kulihutubia Bunge jijini Dodoma, Mei 5, 2026. Kushoto kwa Rais Ruto ni Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu na kulia KWA WAZIRI Mkuu ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Musalia Mudavadi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
