Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Dkt. William Samoei Ruto akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 5 Mei, 2026 Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, akiongozana na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Dkt. William Samoei Ruto wakiingia Bungeni kwa ajili ya Rais huyo kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano leo tarehe 5 Mei, 2026 Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, akizungumza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Dkt. William Samoei Ruto kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 5 Mei, 2026 Bungeni Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Dkt. William Samoei Ruto akiongozana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, mara baada ya kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano leo tarehe 5 Mei, 2026 Bungeni Jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Dkt. William Samoei Ruto akiagana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, mara baada ya kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 5 Mei, 2026 Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
