Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto, Ikulu Jijini, Dar es Salaam, tarehe 04 Mei, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto akizungumza na Waandishi wa Habari kufuatia Ziara yake ya Kitaifa, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 04 Mei, 2026.