Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto akihutubia viongozi pamoja na wafanyabiashara kwenye Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na Kenya lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, tarehe 04 Mei, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wafanyabiashara kwenye Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na Kenya lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Mei, 2026.